Baadhi ya
Watumishi wa Mahakama wakiwa katika Mafunzo ya jinsi ya kuhifadhi kumbukumbu
yanayoendelea kutolewa mkoani Dodoma, mafunzo haya kwa kundi hili la mwisho
yameanza rasmi tarehe. 21.11.2016 hadi tarehe 25.11. 2016.
Mtaalam kutoka Kitengo cha Tehama,
Mahakama ya Rufani (T) akitoa mada kwa Watunza Kumbukumbu katika mafunzo
yanayoendelea mkoani Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni