Jumapili, 18 Desemba 2016

JAJI MKUU WA TANZANIA AANZA ZIARA YA KIKAZI SUMBAWANGA


 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalifan Boniface Haule mara baada ya kuwasili leo mjini humo tayari kwa kuanza kukagua shughuli za kimahakama,- Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga.



Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na watumishi mbalimbali wa Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga mara baada ya kuwasili leo Mkoani Rukwa kwa ziara ya kikazi katika kanda hiyo.


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Boniface Haule (kushoto) pamoja na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga Mhe. John Mgetta baada ya kuwasili leo mjini Sumbawanga tayari kwa kuanza kukagua shughuli za Mahakama katika kanda hiyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni