Jaji wa Mahakama Kuu,
Kanda ya Iringa, Mhe. Rehema Kerefu akiwasiliwa mada mbele ya Majaji
wanaoshiriki katika mafunzo ya kubadilishana uzoefu juu ya mashauri ya Jinai
yanayoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Hazina, mkoani Dodoma.
Washiriki wakimsikiliza Mhe. Jaji Kerefu wakati akitoa mada.
Washiriki wakiwa katika mafunzo hayo mapema leo.
Jaji wa Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi, Mhe. Lilian Mashaka akifafanua kitu mbele ya Wahe. Majaji (hawapo pichani) katika mafunzo yanayoendelea.
Mhe. Jaji Mashaka
akiendelea kutoa mada.
Baadhi ya Wahe. Majaji
wakifanya majadiliano katika vikundi ‘group discussion’ hii ni njia moja wapo
inayotumika katika mafunzo haya ya kubadilishana uzoefu baina ya Majaj, katika picha ya mwisho, kushoto ni Jaji Mfawidhi- Mahakama Kuu-Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mhe. Rehema Mkuye, na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama- Lushoto (IJA), Mhe. Jaji. Dkt. Paul Kihwelo. (Picha na Mary Gwera)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni