Baadhi ya Maafisa wa Teknolojia ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka kanda 13 za Mahakama Kuu ya Tanzania leo wakifanya mtihani baada ya mafunzo ya muda wa siku tano la yenye lengo la kuwaongezea ujuzi yaliyoandaliwa na Mahakama na Wakala ya Serikali Mtandao(eGA). Mafunzo hayo yamemalizika leo na yamefanyika jengo la Shule ya Sheria lililopo Sinza, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Ijumaa, 20 Januari 2017
BAADHI YA MAAFISA TEHAMA KUTOKA MAHAKAMA YA TANZANIA WAFANYA MTIHANI LEO.
Baadhi ya Maafisa wa Teknolojia ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka kanda 13 za Mahakama Kuu ya Tanzania leo wakifanya mtihani baada ya mafunzo ya muda wa siku tano la yenye lengo la kuwaongezea ujuzi yaliyoandaliwa na Mahakama na Wakala ya Serikali Mtandao(eGA). Mafunzo hayo yamemalizika leo na yamefanyika jengo la Shule ya Sheria lililopo Sinza, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni