Jumapili, 29 Januari 2017

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAONYESHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI


 
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere(mbele) akionesha bango kabla ya kuanza kwa Matembezi ya  Uzinduzi wa Maonyesho ya wiki ya Sheria nchini leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi (mwenye nyeupe katikati) akiwa kwenye Matembezi ya Uzinduzi wa Maonyesho ya wiki ya Sheria nchini leo, kulia kwake ni Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma na kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu. Wa kwanza kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali na wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome.Mhe Mwinyi alikuwa mgeni rasmi kwenye matembezi hayo.
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu (katikati) na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali kabla ya kuanza kwa Matembezi ya Uzinduzi wa Maonyesho ya wiki ya Sheria nchini leo jijini Dar es salaam.

 Baadhi ya Watumishi wa Mahakamaya Tanzania wakiwa kwenye Matembezi hayo.


 Baadhi ya Watumishi wa Mahakamaya Tanzania wakiwa kwenye Matembezi hayo.


 Viongozi wakifanya mazoezi mepesi kwa ajili ya kumalizia matembezi walipofika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Askari wa Kikosi cha Magereza wakiwa kwenye mazoezi ya kumalizia matembezi baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es salaam 

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakifanya Mazoezi
 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma wakifanya Mazoezi

 Majaji wakifanya mazoezi baada ya kumalizamatembezi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jaji waMahakama ya Rufani Mhe. Semistocles Kaijage.
 Watumishi wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Club za wakimbiaji wakifanya mazoezi

 Sehemu ya Watmishi wa Mahakama ya Tanzania waliohudhria Matembezi na Uzinduzi wa Maonesho ya Wiki ya Sheria nchini.


 Jaji Kiongozi wa MahakamaKuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali (kushoto) akiwa na Majaji wengine kwenye Uzinduzi huo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam 


Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.Ibrahim Juma akizungumza kwenye Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini leo jijini Dar es salaam

Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini leo jijini Dar es salaam

 Bendi ya Polisi ikiongoza Matembezi hayo




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni