Arch. Christina Shayo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) akionesha kitu kwa wajumbe kutoka Mahakama, TBA na TEMESA, walipokuwa wakikagua jengo la wateja la kusubiria 'Waiting Lounge' ambalo limejengwa Mahakama Kuu- Dar es Salaam, jengo hilo litatumika kama sehemu ya Wateja kuketi wakisbiri kupatiwa huduma.
Mhandisi. Nasibu Moshi kutoka Kampuni ya Crossworld iliyohusika kujenga jengo hilo (mwenye shati ya draft) akimuonesha kitu Mhandisi-Ujenzi kutoka Mahakama ya Tanzania, Bw. Coelestine Rutasindana (katikati) walipokuwa wakikagua jengo hilo.
Ukaguzi ukiendelea
Muonekano wa sehemu ya jengo la 'Waiting Lounge' kwa ajili ya wateja wa Mahakama Kuu- Dar es Salaam, ukaguzi uliofanyika leo ililenga katika kubaini mapungufu ya 'site' , kuhakiki utendaji kazi wa vifaa vya umeme kama AC n.k NA na hatimaye kutoa maelekezo ya maeneo ya kurekebisha kabla ya makabidhiano rasmi ya jengo hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni