Alhamisi, 2 Machi 2017

MFUMO WA KURATIBU TAKWIMU ZA MASHAURI KIELETRONIKI (JSDS) WAENDELEA


Watumishi wa Kitengo cha Uandaaji wa Takwimu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma wakiingiza Takwimu kwa kutumia Mfumo wa uratibu wa Takwimu za Mashauri Kielekroniki (JSDS).
Afisa Utumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, Bw. Andes Mutwe (aliyesimama) akifuatilia kwa karibu zoezi la uandaaji wa taarifa za takwimu kwa kutumia Mfumo wa JSDS.
Watumishi wakiendelea na kazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni