Ijumaa, 3 Machi 2017

WAKUU WA IDARA WA MAHAKAMA WAENDELEA KUSAINI MIKATABA YA KAZI


Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akimkabidhi Mkataba wa kazi Mkurugenzi wa Mipango na Ufuatiliaji, Bw. Mathias Mwangu (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama. Kushoto ni Msajili, Mahakama ya Rufani, Mhe. John Kahyoza. 
Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akimkabidhi Mkataba wa kazi Mkurugenzi Msaidi wa TEHAMA, Mahakama ya Tanzania, Bw. Machumu Essaba (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama. Kushoto ni Msajili, Mahakama ya Rufani, Mhe. John Kahyoza. 
Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akimkabidhi Mkataba wa kazi, Mhandisi-Ujenzi, Mahakama ya Tanzania, Bw. Khamadu Kitunzi (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama. Kushoto ni Msajili, Mahakama ya Rufani, Mhe. John Kahyoza. 
Makabidhiano ya mikataba hiyo yamefanyika kwa awamu ya pili mapema Machi 03, 2017 mbele ya Wajumbe wa Kikao cha Menejimenti ya Mahakama.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni