Jumatatu, 8 Mei 2017

MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA YAWAPA MAFUNZO MAAFISA MALALAMIKO

 Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna bora ya kushughulikia Malalamiko kwa haraka yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga
Maafisa Malalamiko wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna bora ya kushughulikia Malalamiko kwa haraka yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga
 
 Mtendaji wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga, Ernest Masanja akiwa kwenye  Mafunzo ya Maafisa wa Dawati la Malalamiko wa kanda hiyo yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga

  Mtendaji wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga, Ernest Masanja akitoa Mada wakati wa Mafunzo ya Maafisa wa Dawati la Malalamiko wa kanda hiyo yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga
  Maafisa Malalamiko wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna bora ya kushughulikia Malalamiko kwa haraka yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga
 Maafisa Malalamiko wa Mahakama Kuu kanda ya Shinyanga wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna bora ya kushughulikia Malalamiko kwa haraka yaliyofanyika hivi karibuni mjini Shinyinga
 
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni