Jumanne, 9 Mei 2017

MATUKIO KATIKA PICHA YA ZIARA YA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. PROFESA IBRAHIM JUMA MKOANI MANYARA.

 Mhe. Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa  Ibrahim Juma  (kushoto)akipokelewa na Mhe Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara Mh Devotta Kamuzora (katikati) pamoja na Afisa wa Polisi Mkoa Manyara (kulia)

Baadhi ya Viongozi wa Mahakama tokea kulia Mtendaji wa Mahakama Kuu Arusha, Mtendaji wa Mahakama ya Hakumu Mkazi Manyara, Afisa Tawala Mahakama ya Wilaya Babati na Mahakimu wakazi.
Mhe. Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa  Ibrahim  Juma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera aliposhiriki nae katika chakula cha pamoja .

Mhe. Kaimu Jaji Mkuu   wa Tanzania, Profesa   Ibrahim   Juma  akizungumza na    baadhi  ya viongozi wa Mahakama Mkoa wa Manyara.
 



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni