Alhamisi, 4 Mei 2017

MAHAKAMA YAKUTANA NA WADAU KUJADILI MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BODI YA RUFAA NA MABARAZA YA RUFAA YA KODI

 Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Tanzania wakiwa na Wadau kujadili Marekebisho ya Kanuni za Bodi ya Rufaa ya Kodi na Mabaraza ya Rufaa ya Kodi jana katika ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) jijini 
Dar es salaam

 Msajili wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Kahyoza akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mahakama wa Kujadilili Marekebisho ya Kanuni za Bodi ya Rufaa ya Kodi na Mabaraza ya Rufaa ya Kodi  jana katika ukumbi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es salaam
  Baadhi ya Wadau wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye Mkutano huo.


 Kaimu Mwenyekiti  wa Kikao cha Wadau cha Kujadilili Marekebisho ya Kanuni za Bodi ya Rufaa ya Kodi na Mabaraza ya Rufaa ya Kodi Jaji Dkt. Fauz Twalib akizungumza na Wadau pamoja na Watumishi wa Mahakama Tanzania katika Mkutano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni