Alhamisi, 4 Mei 2017

WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA MAHAKAMA WAJIFUNZA MATUMIZI YA MUDA KATIKA KUTEKELEZA MPANGO MKAKATI

 Wakuu wa Idara, Vitengo pamoja na Kamati ya Uamuzi wa Mahakama ya Tanzania jana walihudhuria Mafunzo ya uzingatiaji wa muda katika utendaji kazi (Time Management). Mafunzo haya yanafanyika ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama.

 Wakuu wa Idara, Vitengo pamoja na Kamati ya Uamuzi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo hayo jana jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo pamoja na Kamati ya Uamuzi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo hayo jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama Mhe. Zahara Maruma akitoa mada kwa Wakuu wa Idara, Vitengo pamoja na Kamati ya Uamuzi wa Mahakama ya Tanzania kwenye Mafunzo ya uzingatiaji wa muda katika utendaji kazi (Time Management). Mafunzo haya yanafanyika ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkakati huo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni