Jumatano, 17 Mei 2017

MAHAKAMA YA TANZANIA NA CMA YATIA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA VIWANGO VYA HUDUMA.

Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ilvin Mugeta (kulia) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya Viwango vya Huduma Baina ya Mahakama na Kamisheni ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), huku akishuhudiwa na Mtendaji anayeshughulikia Mahakama Kuu,  Mhe. Samson Mashalla(kushoto). Mkataba huo una lengo la kuhakikisha kwamba Mahakama ya Tanzania na Wadau wa nje  wanaimarisha uhusiano, ikiwemo kutekeleza Mpango Mkakati wa Mahakama wa 2015 hadi 2020. Tukio hilo limefanyika leo tarehe 17.05.2017 katika Ofisi  ya Msajili iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu  Mkurugenzi kutoka Kamisheni  ya Usuluhishi na Uamuzis(CMA)Bw. Shanes Nungu (kushoto aliyevaa suti nyeusi) na Afisa Mgavi Mkuu, Bw. Raphael  Towo kutoka CMA  wakisaini Mkataba wa Makubaliano ya Viwango vya Huduma Baina ya Mahakama na Kamisheni ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), 
   Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ilvin Mugeta (kulia) akikabidhiana  Mkataba wa Makubaliano ya Viwango vya Huduma Baina ya Mahakama na Kamisheni ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) na Kaimu  Mkurugenzi kutoka Kamisheni  ya Usuluhishi na Uamuzis(CMA)Bw. Shanes Nungu (kushoto).Mkataba huo una lengo la kuhakikisha kwamba Mahakama ya Tanzania na Wadau wa nje  wanaimarisha uhusiano, ikiwemo kutekeleza Mpango Mkakati wa Mahakama wa 2015 hadi 2020.

Kaimu  Mkurugenzi kutoka Kamisheni  ya Usuluhishi na Uamuzis(CMA)Bw. Shanes Nungu (kushoto aliyesimama  mwenye suti nyeusi) akisisitiza jambo wakati wa kikao hicho.Wengine ni wajumbe wa kikao hicho kutoka Mahakama na CMA.
(picha na Magreth Kinabo )

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni