Jumanne, 6 Juni 2017

JAJI MFAWIDHI KANDA YA IRINGA MHE.MARY SHANGALI AMEFANYA UKAGUZI MAHAKAMA YA MWANZO MLANGALI ILIYOPO MKOA WA NJOMBE.

Jaji Mfawidhi Kanda ya Iringa, Mhe. Mary  Shangali  akisaini katika kitabu cha wageni  mara baada kuwasili kwenye Mahakama ya   Mwanzo  Mlangali Wilayani Ludewa, iliyopo mkoani  Njombe kwa ajili ya ziara ya ukaguzi wa Mahakama.

Jaji Mfawidhi Kanda ya Iringa, Mhe. Mary  Shangali (aliyesuka nywele mwenye mtandio) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi  wa Mahakama  wa mkoa huo , wakiwemo  wadawa .



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni