Jumanne, 13 Juni 2017

KONGAMANO KUHUSU TARATIBU ZA KURAHISISHA KESI ZINAZOHUSU MAKUNDI MAALUM LAFANYIKA MJINI MOROGORO

  Washiriki wa Kongamano Kuhusu taratibu za kurahisisha usikilizaji wa kesi zinazohusu Makundi Maalum ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro jana ambapo wanaendelea na kongamano hilo.
 Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ilvin Mugeta akizungumza na washiriki wa Kongamano kuhusu taratibu za kurahisisha usikilizaji wa kesi zinazohusu Makundi Maalum ya Jamii (hawapo pichani) jana mjini Morogoro. Kushoto ni Mtendaji wa Mahakama Kuu na Mahakama za Hakimu Mkazi, Samson Mashalla.
Washiriki wa Kongamano Kuhusu taratibu za kurahisisha usikilizaji wa kesi zinazohusu Makundi Maalum ya Jamii wakiendelea na mafunzo hayo jana mjini Morogoro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni