Alhamisi, 8 Juni 2017

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Nyanduga (wa kwanza kushoto) pamoja na ujumbe alioongozana nao. Ujumbe huo  ulifika Ofisini kwa Kaimu Jaji Mkuu kwa ajili ya kujitambulisha kwake, kumpongeza kwa kuteuliwa pamoja na kuzungumzia masuala ya Ushirikiano baina ya Tume hiyo na Mahakama ya Tanzania.

 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Nyanduga (kushoto) pamoja na ujumbe wake ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Nyanduga (wa kwanza kulia) pamoja na ujumbe alioongozana nao.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma akiwasikiliza wageni wake (hawapo pichani)  waliofika kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni