Jumatatu, 24 Julai 2017

JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU UPENDO MSUYA AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, DAR ES SALAAM.


Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim   Juma akiuaga mwili wa     Jaji Mstaafu   wa Mahakama   Kuu, marehemu  Mhe.  Upendo Msuya   wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita  kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri  Tanzania(KKKT) lililopo eneo la Wazo Hill jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim   Juma  akiwa  na majaji wengine  akiwa  ameubeba mwili wa  Jaji Mstaafu  wa  Mahakama   Kuu, marehemu  Mhe.  Upendo Msuya   wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita  kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri  Tanzania(KKKT) lililopo eneo la Wazo Hill jijini Dar es Salaam.



    Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa  Ibrahim  Juma, akiwa  na   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwa   katika  mazishi ya  Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu,  marehemu Mhe.  Upendo Msuya.


   Gwaride Maalum   likitoa   heshima za mwisho   wakati wa mazishi ya  Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, marehemu  Upendo Msuya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni