Baadhi ya Wajume wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa tayari kuanza safari ya kukagua Mahakama katika mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya. |
Baadhi ya Wajume wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiangalia kiwanja kwa ajili ya kujenga Mahakama eneo la Msamvu mkoani Morogoro
Baadhi ya Wajume wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakipokewa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa Mhe. Mary Shangaliu walipowasili mkoani humo kukagua Mahakama.
Baadhi ya Wajume wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa Mahakama Kuu kanda ya Iringa. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Mahakama, Edward Nkembo akifuatiwa na Mkurugenzi wa Maadili na Malalamiko Mhe. Warsha Ngh'umbu na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Nurdin Ndimbe.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Iringa mhe. Mary Shangali akizungumza na wajumbe hao ofisini kwake mjini Iringa.
Baadhi ya Wajume wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu kanda ya Iringa
Wajumbe wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mfawidhi wa Iringa Mhe. Mary Shangali (katikati) walipotembelea kanda hiyo.
Wajumbe wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mfawidhi wa Iringa Mhe. Mary Shangali (katikati) walipotembelea kanda hiyo.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni