Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho leo jijini Mbeya.
Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga (hayupo pichani) katika kikao maalum cha Menejimenti kilichofanyika leo jijini Mbeya
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho leo jijini Mbeya.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga akiongoza kikao hicho leo jijini Mbeya
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati akiwa kwenye kikao maalumu cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania leo jijini Mbeya.
Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi (katikati) akiwaelezea jambo wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanznaia walipokuwa wakitembelea na kukagua jengo la Mahakama Kuu kanda ya Mbeya lililomaliza kukarabatiwa hivi karibuni. Jengo hilo litazinduliwa rasmi siku ya Alhamis Julai 27, 2017.
Pichani ni ofisi ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya kama inavyoonekana baada ya jengo hilo la Mahakama kufanyiwa ukarabati mkubwa ili kuboresha huduma zinazotolewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni