Emmanuel
Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mlimani(UDSM) akipatiwa maelezo jinsi ya kujiunga na Chuo cha Uongozi wa Mahakama
Lushoto(IJA)wakati alipotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania katika Viwanja vya
maonesho ya Sabasaba 1-7-2017 - Dar es Salaam.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni