Alhamisi, 20 Julai 2017

MATUKIO KATIKA PICHA, MSIBA WA MAREHEMU JAJI UPENDO HILLARY MSUYA



Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sekieth Kihio akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Jaji Upendo Msuya aliyefariki Julai 19, 2017, walioketi pembeni ni baadhi ya Wahe. Majaji waliofika katika msiba huo.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Pellagia Khaday akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Marehemu Jaji Upendo Hillary Msuya.
Picha ya Marehemu Jaji Msuya aliyefariki Julai 19, 2017.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Marehemu Jaji Msuya.
 
 
 
RATIBA YA MAZISHI YA MHE. JAJI
UPENDO HILARY MSUYA
IJUMAA 21 JULAI, 2017
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
MAHALI
Saa 10:00 Jioni
Mwili wa Marehemu kuwasili Nyumbani
Kamati
Tegeta
Nyumbani
11:00-12:00 Jioni
Ibada Fupi
Wote
Tegeta
Nyumbani
12:00-1:00 Usiku
Chakula
Wote
Tegeta Nyumbani
 JUMAMOSI 22 JULAI, 2017
4:00 -05:30
Asubuhi
Chakula
Wote
Tegeta Nyumbani
05:30-06:00
Mchana
Ibada Fupi Nyumbani
Wote
Tegeta
Nyumbani
06:00-07:00
Mchana
Ibada Kanisani
Wote
KKKT
WAZO
9:30 Alasiri
Mazishi
Wote
Kinondoni
 
 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni