Alhamisi, 6 Julai 2017

MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA

 

 

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) akiwasili kwenya banda la Maonesho la Mahakama yua Tanzania. Kulia ni Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, Leonard Magacha akimkaribisha.
 Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, Leonard Magacha akimpatia maelezo kuhusu banda la Mahakama ya Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Jaji Semistocles Kaijage.

Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi, Projestus Kahyoza akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Jaji Semistocles Kaijage.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni