·
Mahakama
ya Kazi Wamuaga
Jaji
wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Mhe. Ibrahim Mipawa akipokea
zawadi wakati akiagana na watumishi wa Mahakama hiyo mara baada ya kustaafu kazi
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Mhe. Ibrahim Mipawa akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Msajili Mhe. Safina Semfukwe wakati akiagana na watumishi wa Mahakama hiyo mara baada ya kustaafu kazi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Jaji Ibrahim Mipawa iliyoandaliwa na watumishi wa Divisheni hiyo. Kulia ni Jaji Dkt. Lilian Mashaka.
Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi wakiwa kwenye hafla ya kumuaga Jaji Ibrahim Mipawa aliyestaafu Utumishi wa Mahakama.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Mhe. Ibrahim Mipawa akipokea zawadi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni