Jumamosi, 12 Agosti 2017

KIKAO KAZI CHA KUTATHMINI MPANGO MKAKATI WA MAHAKAMA CHAENDELEA MOROGORO

  Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kazi ya kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama mjini Morogoro 

 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kazi ya kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama mjini Morogoro
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kazi za vikundi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi-Mafunzo, Bibi Patricia Ngungulu na kushoto ni Afisa Utumishi, Mavis Miti   


Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kazi ya kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama mjini Morogoro. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uhandisi na Majengo, Mhandisi Khamadu Kitunzi akiwa pamoja na timu yake wakijadili Utekelezaji wa Mpango huo kwa upande wa Majengo. 
  Mhasibu Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (kushoto), Mkurugenzi wa Mipango na Ufuatiliaji Mathias Mwangu (katikati) na Mkurugenzi wa Huduma za Manunuzi, David Kivembele wakiwa kwenye kazi za makundi kwenye kikao kazi kinachoendelea mjini Morogoro. 
Mkurugenzi Msaidizi wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Mahakama ya Tanzania, Sebastian Lacha (kushoto), Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, Leonard Magacha (aliyesimama)  na Mkuu wa Kitengo wa Habari, Elimu na Mawasiliano, Nurdin Ndimbe wakiwa kwenye kazi za makundi kwenye kikao kazi kinachoendelea mjini Morogoro. 
Maafisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kazi za vikundi kwenye kikao kazi maalum cha Menejimenti kinachotathmini utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama kinachoendelea mjini Morogoro. Kutoka kushoto ni Bernadetha Barnabas, Haroun Tungaraza na Allan Machella.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni