Jumamosi, 12 Agosti 2017

MAHAKAMA YATATHMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WAKE




Sehemu ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2015/2016-2019/2020) wa Mahakama mjini Morogoro.

 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2015/2016-2019/2020) wa Mahakama mjini Morogoro.
 
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga akizungumza katika kikao Maalum cha Menejimenti ya Mahakama cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2015/2016-2019/2020) wa Mahakama mjini Morogoro. Kulia ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Katarina Revokati.
 Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Solanus Nyimbi akichangia hoja wakati wa kikao Maalum cha Menejimenti ya Mahakama cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama.
 
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wakiwa kwenye kikao hicho mjini Morogoro.
 
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wakiwa kwenye kikao hicho kinachoendelea mjini Morogoro. Mbele ni Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Mhe. Eva Nkya.  
 
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano (2015/2016-2019/2020) wa Mahakama mjini Morogoro.
 
 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga (kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA, Machumu Essaba wakati wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania kuhusu Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama mjini Morogoro.
 
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao Maalum cha Menejimenti cha Kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama mjini Morogoro.
 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni