Jumanne, 29 Agosti 2017

WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI WA MAHESABU YA NDANI WA MAHAKAMA WAKUTANA.


Wajumbe  wa kikao  cha pili ch Kamati   ya Ukaguzi  wa Mahesabu ya Ndani  wa  Mahakama ya Tanzania, wakiendelea na kikao leo  kilichofanyika  kwenye ukumbi wa  mkutano wa Mahakama Kuu  ya Tanzania -Divisheni  ya Ardhi, iliyopo jijini  Dar es Salaam. Kikao hicho, kimeongozwa na Mtendaji  wa Mahakama Kuu – Divisheni  ya Ardhi, Leonard  Magachi, ambaye  ni Mwenyekiti  wa kikao, aliyekaa (kushoto).



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni