|
Baadhi ya Watumishi wa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,Kanda na Mbeya wakiwa
katika mafunzo ya utekelezaji wa Maboresho ya Mfumo
wa Kuhifadhia na kufuatilia majalada ya mashauri
yaliyoisha kwa kutumia mfumo wa kielektroniki kwa Watumishi
wa Mahakama ya Tanzania, katika Masijala ndogo ya
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. |
Baadhi ya Watumishi wa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,Kanda na Mbeya wakiwa
katika mafunzo ya utekelezaji wa Maboresho ya Mfumo
wa Kuhifadhia na kufuatilia majalada ya mashauri
yaliyoisha kwa kutumia mfumo wa kielektroniki kwa Watumishi
wa Mahakama ya Tanzania, katika Masijala ndogo ya
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
|
Afisa
Utumishi wa Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Nkurumah Katangira akitoa
taarifa ya utekelezaji wa Maboresho ya Mfumo
wa Kuhifadhia na kufuatilia majalada ya mashauri
yaliyoisha kwa kutumia mfumo wa kielektroniki kwa Watumishi
wa Mahakama ya Tanzania, ambapo alisema
umeonyesha mafanikio kwa asilimia 90 kwa upande wa Mahakama
Kuu, utumike katika vituo vingine vya Mahakama ya Tanzania.ogo ya
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni