Jaji
Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia akiwasili Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara kujionea kazi zinazofanywa na Mahakama hiyo yakiwemo masuala ya TEHAMA. Jaji Injia ni miongozi wa Majaji Wakuu zaidi ya 12 waliohudhuria Mkutano wa mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola uliomalizika hivi karibuni jijini
Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia akiwasili Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara kujionea kazi zinazofanywa na Mahakama hiyo yakiwemo masuala ya TEHAMA. Aliyeambatana naye ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Kahyoza.
Msajili wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Kahyoza akimuelezea jambo.Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia alipotembelea Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara kujionea kazi zinazofanywa na Mahakama hiyo. Wa pili kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo Mhe. Amir Rajab Mruma.
Msajili wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Kahyoza akimuelezea jambo.Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia alipotembelea Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara kujionea kazi zinazofanywa na Mahakama hiyo.
Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo akiwa kwenye moja ya vyumba vya Mahakama ya Biashara. Katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo Mhe. Amir Rajab Mruma.
Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia akielezea jambo.
Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia akiwa na mwenyeji wake Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara Mhe. Amir Rajab Mruma, alipotembelea Mahakama hiyo.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Salamo Injia alipoitembelea Mahakama hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni