Mwenyekiti wa Kamati ya
Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha(wa tatu kushoto) akiwa na Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Mhe. Dkt. Mary Levira (wa tatu kulia) alipotembelea Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ili kujionea maboresho ya Miundombinu ya Mahakama hasa baada ya kukamilika kwa Ukarabati Mkubwa wa Jengo la Mahakama Kuu kanda hiyo.
Mtendaji wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, Moses Mwidete akimuonyesha jambo Mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha alipotembelea Mahakama Kuu kanda ya Mbeya kujionea maboresho ya Miundombinu ya Mahakama hasa baada ya kukamilika kwa Ukarabati Mkubwa wa Jengo la Mahakama Kuu kanda hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha akiongozana na Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Mhe. Dkt. Mary Levira pamoja na Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi (kulia) alipotembelea Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ili kujionea maboresho ya Miundombinu ya Mahakama.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wengine wa Mahakama ya Tanzania alipotembelea Mahakama ya Watoto(Juvenile Court) jijini Mbeya ili kujionea maboresho ya Miundombinu ya Mahakama.
Afisa TEHAMA wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya akimuelezea Mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha jinsi mfumo wa Mawasiliano (video Conferencing) unavyofanya kazi alipotembelea Mahakama Kuu kanda ya Mbeya kujionea Maboresho ya Miundombinu ya Mahakama.
Afisa TEHAMA wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya akimuelezea Mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho-Jaji Mkuu, Mhe. Jaji Stella Mugasha jinsi mfumo wa Mawasiliano (simu) unavyofanya kazi alipotembelea Mahakama Kuu kanda ya Mbeya kujionea Maboresho ya Miundombinu ya Mahakama. Katikati ni Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Mhe. Dkt. Mary Levira
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni