Jumanne, 26 Septemba 2017

MKUTANO WA CHAMA CHA MAJAJI WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA WAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

 
Wajumbe wa Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji wa nchi za  Jumuiya ya Madola wakiwa kwenye Mkutano wao unaoendelea leo nchini. Wa pili kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof, Ibrahim Hamis Juma
  
 Wajumbe wa Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wakiwa kwenye Mkutano wao unaoendelea leo nchini.
 



Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (Wa pili kushoto) akiwa na wajumbe wengine wa Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji wa nchi za Jumuiya ya Madola leo jijini Dar es salaam. 

  Wajumbe wa Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wakiwa kwenye Mkutano wao unaoendelea leo nchini. Wa kwanza kulia ni Rais wa Chama hicho nchini Tanzania Mhe. Jaji Ignas Kitusi.


(Picha na Lydia Churi- Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni