Jumanne, 12 Septemba 2017

MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO CHA MAHAKAMA WAENDELEA


Pichani ni muonekano wa jengo la Kituo cha Mafunzo cha Mahakama: Kwa sasa mafundi wapo katika hatua ya kupaua na uwekaji wa milango, kazi ya upauaji na uwekaji wa milango ilianza Septemba 11 na inatarajiwa kukamilika Septemba 12,2017, na uwekaji bati utaanza Septemba 13.Lengo la uwepo wa Kituo cha Mafunzo-Kisutu Dar es Salaam ambacho kinatarajiwa kukamilizika Oktoba 12, ni kuwezesha baadhi ya Mafunzo mbalimbali ya Watumishi na Wadau wa Mahakama kufanyika katika kituo hiki.

Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Mafunzo unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB).


(Picha na Mary Gwera, Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni