Baadhi ya wageni wakiwa
sehemu ya mapumziko pindi walipowasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kushiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Nchi za
Jumuiya ya Madola (CMJA) utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa BOT jijini
Dar es Saalam kuanzia Septemba 25 hadi Septemba 28, 2017
Rais wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), Mhe. Emmanuel Ugirashebu akisaini kitabu cha Wageni pindi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kushiriki Mkutano Mkuu wa CMJA.
Afisa Utumishi-Mahakama Kuu ya Tanzania akimuelekeza mgeni kujaza fomu pindi alipowasili kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano huo.
Baadhi ya Wageni wakiwa tayari kuelekea hotelini
(Picha na Mary Gwera, Mahakama)
(Picha na Mary Gwera, Mahakama)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni