Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga akiweka saini kwenye mojawapo ya Mikabata kabla ya kuwakabidhi wakuu wa Idara na Vitengo wa Mahakama ya Tanzania ikiwa ni katika kusimamia Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania (2015/16-2019/20) ulioanza rasmi kutekelezwa mwaka 2015..
Mtendaji
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga na Msajili
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati wakisaini Mikabata kabla ya kuwakabidhi wakuu wa Idara na Vitengo wa Mahakama ya Tanzania ikiwa ni katika kusimamia Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania (2015/16-2019/20) ulioanza rasmi kutekelezwa mwaka 2015..
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati wakimkabidhi Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ilvin Mugeta Mkabata wa Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama ya Tanzania leo jijini
Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati wakimkabidhi Mkurugenzi wa Mipango na Ufuatiliaji wa Mahakama ya Tanzania, Mathias Mwangu Mkabata wa Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama ya Tanzania leo jijini
Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati wakimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mahakama ya Tanzania, Edward Nkembo, Mkataba wa Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama ya Tanzania leo jijini
Dar es salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni