|
Naibu Msajili Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania - Divisheni ya Kazi, Mhe, Projestus Kahyoza, akifafanua kuhusu Mahakama hiyo inavyofanya kazi ya kupunguza mlundikano wa kesi zinazohusu masuala ya kazi. Kikao hicho kilishirikisha wadau wa Mahakama ambao ni Tume ya Utumishi na Uamuzi (CMA), wakiwemo wadau wengine ambao ni Chaama cha Waajiri Tanzania(ATE), Sekta binafsi na baadhi ya Mawakili. |
|
Mwenyekiti
wa Kikao cha Maandalizi ya Kikao
cha Mashauri ,ambaye pia ni Kaimu
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania – Divisheni ya Kazi, Mhe.
Lilian Mashaka akifungua kikao hicho kilichoanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo iliyopo jijini Dar es
Salaam. Kikao hicho kimejumuisha
baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania na wadau ya Mahakama. |
|
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika kikao hicho.
|
( Picha na Magreth Kinabo- Mahakama ya Tanzania.)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni