Alhamisi, 16 Novemba 2017

MAHAKAMA YA WILAYA YA KONDOA YAANZA KUJENGWA

  Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Bibi Wanyenda Kutta (wa tatu kushoto) na Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Bibi  Maria Itala (anayefuatia) wakiwa wametembelea eneo la ujenzi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.

 Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Bibi Wanyenda Kutta na Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Bibi  Maria Itala wakiwa na uongozi wa kijiji cha Paranga kilichopo wilayani Chemba ili kupata suluhu ya upatikanaji wa jengo litakalosaidia kutoa huduma za kimahakama kufuatia jengo lililokuwa likitumika awali kuezuliwa paa lake na upepo hali iliyosababisha shughuli za Mahakama kusimama kwa muda.

  Jengo lililokuwa likitumika kwa shughuli za Mahakama likiwa limeezuliwa paa lake na upepo hali iliyosababisha shughuli za Mahakama kusimama kwa muda.

Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Bibi Wanyenda Kutta (wa pili kulia)  na Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Bibi  Maria Itala (anayefuatia) wakiwa na watumishi wengine wa Mahakama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni