Ijumaa, 8 Desemba 2017

NAIBU JAJI MKUU WA NAMIBIA ATEMBELEA MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA BIASHARA



Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mhe. John Kahyoza akitoa maelekezo  Mahakama  inayofanya kazi kwa kupitia  mfumo   wa Kiektroniki unavyofanya  kazi.
     Naibu Jaji Mkuu wa Namibia  Mhe.   Petrus Damaseb , akiangalia 
mfumo wa Kielektroniki unavyofanya  kazi . Kushoto  kwake  ni Jaji  Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania , Mhe. Ferdinand  Wambali na  Kulia  kwake niJaji  Mfawidhi  wa Divisheni  ya Biashara ,Mhe.  Amir  Mruma .
Naibu Jaji Mkuu wa Namibia  Mhe.   Petrus Damaseb akipata  maekelezo  jinsi mfumo huo unavyofanya kazi  katika Mahakama  Kuu - Divisheni  ya Biashara, kutoka  kwa Jaji Mfawidhi wa mahakama hiyo,Mhe Amir Mruma. 
     Naibu Jaji Mkuu wa Namibia  Mhe.   Petrus Damaseb , akitembelea leo Mahakama Kuu-Divisheni  ya Biashara,  wa  (pili  kutoka  kushoto) kwa ajili ya kujionea  shughuli mbalimbali  utendaji  kazi kwa kutumia mfumo wa Kielektroniki.Kushoto  kwake  ni  Afisa  Sheria  Mkuu  wa kutoka  Ofisi  ya Jaji  huyo,  Mhe. Lotta Ambunda.

Naibu Jaji wa Namibia  Mhe.   Petrus Damaseb (katikati) na wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria Mkuu  kutoka  katika Ofisi ya Naibu Jaji huyo, Mhe.  Lotta   Ambunda  wakisikiliza  kuhusu  mtandao wa simu unavyofanya kazi  katika Mahakama Kuu -Divisheni ya Biashara.

(Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni