Alhamisi, 1 Februari 2018

JAJI KIONGOZI AZINDUA MAHAKAMA YA WILAYA YA MKURANGA: AWATAKA WATUMISHI WA MAHAKAMA KUTOA HUDUMA BORA

 Jaji Kiongozi amezindua rasmi Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga. Pichani ni Watumishi wa Mahakama hiyo wakiwa katika hafla ya Uzinduzi. 
 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa kwenye hafla ya uzinduzi. Wa pili kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanznaia kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi  na wa pili kulia ni Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ilvin Mugeta. Wa kwanza kulia ni Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Pwani Mhe. Elizabeth Nyembele. Wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Mkuranga.
 Jengo la Mahakama ya wilaya ya Mkuranga lililozinduliwa.
  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam Mhe. Beatrice Mutungi  akizungumza wakati wa hafla hiyo. 
  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza wakati wa hafla hiyo. 
  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akikata utepe kuzindua Mahakama ya wilaya ya Mkuranga. 


 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akipanda Mti wa kumbukumbu kwenye viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni