Jumamosi, 24 Februari 2018

JAJI MKUU AENDELEA NA ZIARA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri  alipofika ofisini kwake kumtembelea ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi Mahakama Kuu kanda ya Tabora. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora alipofika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huo kumtembelea ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi Mahakama Kuu kanda ya Tabora. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa (hawapo pichani) alipofika ofisini hapo  kumtembelea ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi Mahakama Kuu kanda ya Tabora. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi baadhi ya machapisho ya Mahakama ya Tanzania yakiwemo kitabu cha Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama, Jarida, na Taarifa ya Utekelezaji ya Mwaka alipofika ofisini kwake kumtembelea ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi Mahakama Kuu kanda ya Tabora. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora mara baada ya kuzungumza nao. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora (hawapo pichani) akiwa katika ziara ya kukagua kazi za Mahakama kwenye kanda ya Tabora. kushoto kwake ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora Mhe. Sam Rumanyika. 
  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akipanda mti wa kumbukumbu katyika ofisi za Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora. 
  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora Mhe. Sam Rumanyika akipanda mti wa kumbukumbu. 


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni