Alhamisi, 8 Februari 2018

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA MAJENGO YA MAHAKAMA: UJENZI WA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI-GEITA WAANZA


Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita na Mahakama ya Wilaya ya Geita likiwa Katika Hatua za mwanzo za Ujenzi wake unaotarajiwa kutumia miezi 6. Jengo hili linalojengwa kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa, ya muda mfupi na gharama nafuu iitwayo Moladi linatarajiwa kumaliza Changamoto ya Uhaba na Uchakavu wa Miundombinu ya Mahakama katika Mkoa huo na pia litasogeza huduma za Mahakama karibu zaidi na Wananchi.
Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita, Lothan  Simkoko akiwa Ofisini kwake Mkoani Geita. (Picha na Lydia Churi, Geita)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni