JENGO
JIPYA LA MAHAKAMA YA MWANZO-ROBANDA
Pichani ni muonekano wa
jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda lililopo Wilaya ya Serengeti, jengo
hili lilijengwa kwa nguvu za wananchi na kumaliziwa na Mahakama ya Tanzania
lilikabidhiwa rasmi tayari kwa matumizi Januari 26, 2018, uwepo wa jengo hili
utasaidia kuwapunguzia wananchi aza ya kusafiri kilomita zipatazo 40 kwenda
Mahakama ya Mwanzo Serengeti kutafuta haki zao.
Muonekano
wa nyuma wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Robanda.
Maafisa Tawala wa
Mahakama mkoani Mara wakionyesha baadhi ya ofisi za jengo hilo; hapo ni sehemu
ya ukumbi wa Mahakama hiyo ‘court room’ ambayo ina ukubwa wa kutosha wa
kuwawezesha wananchi wenye kesi kusikiliza kesi zao bila usumbufu.
Muonekano
wa Ukumbi wa Mahakama ‘court room’
Kibao
cha Mkandarasi aliyejenga jengo hilo la Mahakama kikiwa ‘site’
(Picha na Mary Gwera, Mahakama)
(Picha na Mary Gwera, Mahakama)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni