Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza wakati akifunga kikao kazi cha Watendaji na Wataalam mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania kilichokuwa kikitathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama jijini Arusha.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa kwenye kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama ya Tanzania ambacho baadaye alikifunga rasmi. Kushoto ni Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha Mhe. Sekela Moshi.
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Katarina Revocati akizungumza kwenye kikao kazi cha Watendaji na Wataalam mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania kilichokuwa kikitathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama jijini Arusha.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bwn. Hussein Kattanga akizungumza wakati wa kufungwa kwa kikao kazi cha Watendaji na Wataalam mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania kilichokuwa kikitathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama jijini Arusha.Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama Mhe. Zahara Maruma akiwasilisha Mada kuhusu Tathmini iliyofanyika wakati wa kikao hicho jijini Arusha.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji na Naibu Wasajili wa Mahakama kutoka kwenye Divisheni za Mahakama Kuu, mara baada ya kufunga kikao kazi.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji, Naibu Wasajili wa Mahakimu kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, mara baada ya kufunga kikao kazi.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji, Naibu Wasajili wa Mahakimu kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mtwara, mara baada ya kufunga kikao kazi.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji, Naibu Wasajili wa Mahakimu kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Shinyanga, mara baada ya kufunga kikao kazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni