Jumamosi, 24 Machi 2018

MAFUNZO YA MAJAJI AWAMU YA KWANZA YAKAMILIKA WENGINE WAANZA LEO

Baadhi ya Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania walioanza mafunzo leo wakiwa katika ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo jijini Arusha. Majaji hao watashiriki mafunzo ya siku tano kuhusu Usikilizwaji wa mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki
 Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabir Bakari akitoa Mada kuhusu Matumizi ya Tehama kwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika mafunzo jijini Arusha.
  Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto Mhe. Dkt. Paul Kihwelo akizungumza wakati wa kufungua  awamu ya pili ya Mafunzo ya Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki   
 

 Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo hayo.
 Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo hayo. Kulia ni Jaji Sophia Wambura na kushoto ni Jaji Pelagia Khaday.
  Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha Mhe. Sekela Moshi akifungua awamu ya pili ya Mafunzo Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki   
 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Iringa  Mhe. Mary Shangali akifungumza wakati wa kufungwa kwa awamu ya kwanza ya Mafunzo ya Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki   
 Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Eusebia Munuo akizungumza wakati wa ufunguzi wa awamu ya kwanza ya Mafunzo ya Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki.
 Majaji wakiwa katika picha ya pamoja.
 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Iringa  Mhe. Mary Shangali akipokea cheti baada ya kumalizika kwa awamu ya kwanza ya Mafunzo ya Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki   
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Moshi  Mhe. Aishiel Sumari akipokea cheti baada ya kumalizika kwa awamu ya kwanza ya Mafunzo ya Majaji kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika Utoaji wa Haki   

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni