Jumanne, 20 Machi 2018

MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WAANZA MAFUNZO KUHUSU MASHAURI YANAYOHUSU KATIBA NA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UTOAJI WA HAKI

  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha Mhe. Sekela Moshi akifungua Mafunzo ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu Mashauri yanayohusu Katiba na Matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa Haki yaliyoanza jijini Arusha. 

  Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna ya kushughulikia Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa Haki yaliyoanza jijini Arusha. 
Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna ya kushughulikia Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa Haki yaliyoanza jijini Arusha. Wa kwanza kulia ni Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya. 
 Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye Mafunzo kuhusu namna ya kushughulikia Mashauri yanayohusu Katiba pamoja na Matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa Haki yaliyoanza jijini Arusha.
  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha Mhe. Sekela Moshi (waliokaa-katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya kufungua rasmi mafunzo ya siku sita ya Majaji hao kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri ya Kikatiba pamoja na Matumizi ya TEHAMA katika Utoaji wa Haki.
 Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye vikundi vya majadiliano wakati wa Mafunzo. 
 Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye vikundi vya majadiliano wakati wa Mafunzo. 
  Jaji Mhe. Rose Aggrey Teemba, akichangia jambo wakati wa mafunzo hayo.
  Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, Mhe. Paul Kihwelo akizungumza wakati wa Mafunzo hayo. 

  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Tabora Mhe. Sam Mpaya Rumanyika akichangia jambo wakati wa mjadala katika Mafunzo hayo. 

  Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ignas Kitusi akizungumza jambo wakati wa Mafunzo hayo.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe Zainab Goronya Muruke akifafanua jambo wakati wa Mafunzo hayo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni