|
Meneja Mradi wa
Mageuzi wa Kanda ya Afrika Mashariki,
Nikola Smithers (kulia) kutoka Benki ya Dunia akizungumza
jambo wakati alipotembelea leo Kitengo cha Mradi wa Usimamizi
wa Maboresho cha Mahakama ya Tanzania kilicho jijini kilichopo jijjini
Dar es Salaam .Kushoto ni Afisa Mwandamizi
wa Mageuzi, Denis Biseko kutoka Benki ya Dunia.
|
Mkuu wa Kitengo cha Mradi
wa Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania, Mhe Zahra Maruma
akizungumzia kuhusu Mpango Makakati wa Mahakama wakati
Meneja Mradi wa Mageuzi wa Kanda
ya Afrika Mashariki, Nikola Smithers kutoka Benki ya Dunia alipotembelea ofisi hiyo leo .
|
Meneja Mradi wa Mageuzi wa Kanda ya Afrika Mashariki, Nikola Smithers (katikati) kutoka Benki ya Dunia akiwa katika picha ya pamoja
wakati alipotembelea leo kituo cha mafunzo
cha kisutu kilicho jijini kilichopo jijjini Dar es Salaam .Kushoto ni Afisa
Mwandamizi wa Mageuzi, Denis Biseko kutoka Benki ya Dunia
na (kulia)Mkuu wa Kitengo cha Mradi
wa Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania, Mhe Zahra Maruma.
( picha na Magreth Kinabo)
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni