Jumanne, 20 Machi 2018

WATUMISHI WA MAHAKAMA KANDA YA DAR ES SALAAM WAELIMISHWA KUHUSU MPANGO MKAKATI WA MAHAKAMA


Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania, wakiwa katika kikao kazi kilichohusu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano kilichofanyika leo  kwenye  Kituo cha Mafunzo kilichopo katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.


Mtendaji -Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu, Gaston Kanyairita akizungumzia  kuhusu Mpango Mkakati  wa Miaka Mitano  wa Mahakama ya Tanzania wakati wa kikao kazi  kilichofanyika leo  kwenye  Kituo cha Mafunzo kilichopo katika  Mahakama hiyo.

Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania, wakiwa katika kikao kazi kilichohusu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano kilichofanyika leo  kwenye  Kituo cha Mafunzo kilichopo katika  Mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 (Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni