Baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo yanayoendelea kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusisha Katiba pamoja na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika upatikanaji wa Haki jijini Arusha. Kushoto bi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga Mhe. Imani Daud Aboud akifuatiwa na Jaji wa Kanda ya Dar es salaam, Ignas Kitusi na kulia ni Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha Mhe. Sekela Moshi.
Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo yanayoendelea kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusisha Katiba pamoja na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika upatikanaji wa Haki jijini Arusha. Kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Mwanza Mhe. Robert Makaramba akifuatiwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere. Wa kwanza kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa Mhe. Mary Shangali..
Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo yanayoendelea kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusisha Katiba pamoja na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika upatikanaji wa Haki jijini Arusha. Kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga Mhe. Imani Aboud, wanaofuata ni Jaji Ignas Mhe. Sekela Moshi, Jaji Isaya Arufani na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Songea Mhe. David Mrango.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Tanga Mhe. Iman Aboud akizungumza jambo wakati wa mafunzo.
Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo yanayoendelea kuhusu Usikilizwaji wa Mashauri yanayohusisha Katiba pamoja na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika upatikanaji wa Haki jijini Arusha.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mtwara Mhe. Dkt. Fauz Twaibu akizungumzia matumizi ya Tehama katika upatikanaji wa Haki katika Mafunzo yanayoendelea.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Iringa Mhe. Mary Shangali akizungumza katika Mafunzo hayo.
Afisa Tehama wa Mahakama ya Rufani, Allan Machella akiwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania kwa upande wa kitengo cha Tehama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni