Alhamisi, 22 Machi 2018

WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI WAFANYA KIKAO


Mwenyekiti  wa kikao cha Kamati ya Ukaguzi akifungua kikao  hicho kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama ya Ardhi uliopo jijini Dar er Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Wanyenda Kutta.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Edward Nkembo  (kushoto)na   wajumbe wengine  wakiwa katika kikao ambao ni Mkurugenzi wa Idara  ya Ununuzi David Kivembele(kulia ) na katikati ni Mkaguzi wa   nje Faith  Muture.


               Mkurungezi wa  Mipango na Ufuatiliaji ,Mathias  Mwang’u (kushoto) , Agustina  Kimati  na kulia Ephraim  Rwakatare  wakifuatilia kikao hicho.


 Mkurungezi wa  Mipango na Ufuatiliaji ,Mathias  Mwang’u (kulia) ,akifafanua jambo katika  kikao hicho.Kushoto   mjumbe wa kikao hicho, Saidi  Dingo'hi.
                                                (Picha na Magreth Kinabo)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni