Mkuu wa kitengo cha Usimamzi wa Mradi wa Maboresho ya Mahakama, Mhe. Zahra Maruma akichangia hoja kwenye mkutano huo kuhusu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano. 2015/2016 hadi 2019/ 2020).
Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ilvin
Mugeta akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu , Edward Nkembo akielezea ripoti hiyo ya robo mwaka ya Mpango Mkakati wa Miaka Mitano katika idara yake. |
Msajili wa Makahama ya
Rufani Tanzania, Mhe John Kahyoza
akielezea jambo kuhusu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano( 2015/2016 hadi 2019/ 2020).
Msajili Mkuu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Katarina Revokati akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Wajumbe
wakiwa katika Mkutano huo.
|
Mkurugenzi
wa Usimamizi wa Mashauri-Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Nkya akitoa taarifa ya
Utekelezaji wa majukumu ya Idara yake katika Mkutano huo.
|
Mkurugenzi wa
Mipango na Usimamizi, Mathias Mwang’u akitoa taarifa ya Idara hiyo katika Mkutano wa
Tathmini ya Utekelezaji wa Majukumu ya idara hiyo.
Mkuu wa Kitengo
cha Habari, Elimu kwa Umma na Mawasiliano
wa Mahakama , Nurdin Ndimbe a akitoa taarifa ya Idara hiyo katika Mkutano wa
Tathmini ya Utekelezaji wa Majukumu.
|
Mkurugenzi Msaidizi wa Ukaguzi na Maadili-Mahakama ya Tanzania, Mhe. Warsha Ngh'umbu akitoa taarifa ya Idara hiyo katika Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa Majukumu.
. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni