Msajili Mkuu wa
Mahakama ya Tanzania,Katarina Revokati
akitoa neno la kuanza kwa mkutano katika mkutano wa tathmini na
utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano(2015/2016
hadi 2019/2020 ulianza leo Machi 5,2018 kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa(AICC)ambapo
amesistiza umuhimu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA),
Baadhi ya wajumbe wa wakiwa
katika mkutano huo
Baadhi ya wajumbe wa wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakijadiliana
kuhusu utekelezaji wa majukumu yao
kulingana na mpango mkakati huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakijadiliana
kuhusu utekelezaji wa majukumu yao
kulingana na mpango mkakati huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kuhusu utekelezaji wa majukumu yao kazi kulingana na mpango mkakati huo.
Baadhi ya wajumbe wa wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa wakiwa katika mkutano huo.
( Picha na Magreth Kinabo)
( Picha na Magreth Kinabo)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni