Jumanne, 27 Machi 2018

WAHE. MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAENDELEA NA MAFUNZO


Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani (T), Mhe. Eusebia Munuo akitoa mada katika Mafunzo ya Waheshimiwa Majaji yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC mjini Arusha.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Latifa Mansoor akichangia jambo.
Mwenyekiti wa zamu wa Mafunzo hayo, Mhe. Hamisa Kalombola (kushoto) akiendesha kikao cha Mafunzo hayo.

Wahe. Majaji wakiendelea kufuatilia kwa makini Mada inayotolewa.
 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni